MASHABIKI WA TIMU YA SIMBA KATIKA WILAYA YA SENGEREMA WANZISHA TAWI JIPYA LA SIMBA KATIKA WILAYA HIYO NA KULIITA MILA NI AJIRA.
WAKATI HUOHUO WAMEFANYA UCHAGUZI NA KUWAPATA VIONGOZI WAO WA TAWI SAMBAMBA NA KUJAZA FOMU ZA UANACHAMA WA SIMBA, ZOEZI HILO LILISIMAMIWA NA VIONGOZI WA SIMBA MKOA WA MWANZA.
WASIMAMIZI WA UCHAGU, KUSHOTO NI KATIBU WA SEDIFA WILAYA SENGEREMA MR. REVOCATUS BUHEMBO, KATIKATI NI KIONGOZI WA MKOA MR. OMARY MAKOYE NA KULIA NI MR.EMMANUEL MASHAKA.
HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA TAWI LA SIMBA WILAYA YA SENGEREMA KATIKA PICHA YAO YA PAMOJA.
WANACHAMA WAKIFATILIA MAELEKEZO YANAYOTOLEWA NA KIONGOZI WA SIMBA MKOA WA MWANZA.
No comments:
Post a Comment