MKAZI MMOJA WA KATA YA SIMA AVUNJIWA NYUMBA,ACHOMEWA GARI, ACHOMEWA MASHINE YA KUSAGIA NA MAZAO YAKE KUCHUKULIWA.

         MKAZI MMOJA AMBAE JINA LAKE HALIKUFAHAMIKA MAPEMA AVUNJIWA NYUMBA, MADIRISHA KUCHUKULIWA, ACHOMEWA GARI,ACHOMEWA MASHINE YA KUSAGIA NA MAZAO YAKE KUCHUKULIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
        TUKIO HILI LIMETOKEA BAADA YA MKAZI HUYO KUTUHUMIWA KUHUSIKA KATIKA UJAMBAZI ULIOTOKEA KATIKA MAJUMA MATATU YALIYOPITA NA KUBAKA MAMA MMOJA MJAMZITO ALIEKUWA NA UJAUZITO WA MIEZI MINANE(8).


HII NDIO HALI HALISI ILIVYOKUWA KATIKA NYUMBA YA JAMAA MMOJA ANAETUHUMIWA KUHUSIKA NA UJAMBAZI KATIKA KATA YA SIMA.

No comments:

Post a Comment