MECHI YA KIRAFIKI YA VOLLEYBALL KATI YA SENGEREMA VOLLEYBALL CLUB NA SAUT VOLLEYBALL CLUB.

MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOZIKUTANISHA TIMU ZA VOLLEYBALL KATI  YA SENGEREMA VOLLEYBALL CLUB NA SAUT VOLLEYBALL CLUB KUTOKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTIN KILICHOPO MWANZA.
 MCHEZO HUO ILIZIKUTANISHA TIMU ZA WANAWAKE NA WANAUME AMBAPO TIMU ZOTE ZA KIUME NA KIKE KUTOKA CHUO CHA MTAKATIFU AGUSTIN ZILIIBUKA KIDEDEA.
    MCHEZO WA KWANZA ULIKUWA NI KWA TIMU ZA KIKE AMBAPO TIMU YA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTIN KILIEWZA KUWASHINDA TIMU YA VOLLEYBALL KWA UPANDE WA WANAWAKE SENGEREMA KWA SETI 3-1 NA KUWAFANYA TIMU YA VOLLEYBALL YA WANAWAKE TOKA SAUT KUIBUKA KIDEDEA NA KUWAFANYA WENZAO KUUGULIA MAUMIVU.

      LAKINI PIA KWA UPANDE WA TIMU ZA WANAUME  TIMU YA MTAKATIFU AGUSTIN ILIWEZA KUWAPIGA WENZAO WA SENGEREMA SETI 3-1 NA KUWAFANYA TIMU ZOTE MBILI YA KIKE NA KIUME KUIBUKA NA USHINDI WA JUMLA NA KUWAFANYA TIMU ZOTE ZA SENGEREMA KUBAKI NA MAUMIVU.
       WACHEZAJI WA TIMU YA WANAWAKE YA SAUT  WAKIPATAMAELEKEZO.
                      WAAMUZI WALIOKUWA WAKIREKODI MAKSI.
                           LULU MWENYE SOKSI NYEUSI ALIEONEKANA KUWASUMBUA SANA WACHEZAJI WA TIMU YA WASICHANA YA SENGEREMA.
          WACHEZAJI WA TIMU YA SENGEREMA ALIYOKUWA NA WACHEZAJI WA KIGENI WALIOYOPO KATIKA CHUO CHA UDAKTARI SENGEREMA.


          MASHABIKI WAKIFATILIA MCHEZO.



             MCHEZO UKIENDELEA.
      WACHEZAJI WA TIMU YA WASICHANA YA SENGEREMA WAKIPOKEA MAELEKEZO KUTOKA KWA MWALIU WAO ODUNGA.
        TIMU YA WASICHANA YA SAUT WAKITOKA MAPUMZIKONI.





                                              MCHEZO UKIENDELEA.



       MASHABIKI WALIOJITOKEZA KUTAZAMA MCHEZO WA VOLLEYBALL.

      HAPA WAKISHEREHEKEA BAADA YA KUPATA USHINDI WA SETI 3-1.
             LULU BAADA YA MCHEZO AKIPIGA PICHA WACHEZAJI WA TIMU YAKE YA KIUME.

         WACHEZAJI WA TIMU YA WAVULANA YA SAUT VOLLEYBALL CLUB.

     WACHEZAJI WA TIMU  YA WAVULANA YA SENGEREMA VOLLEYBALL CLUB.




            MCHEZO UKIWA UNAENDELEA.
        WACHEZAJI WA TIMU YA SAUT WAKIPATA MAELEKEZO.




           KAPTENI WA TIMU WA WASICHANA YA SAUT VOLLEYBALL CLUB, CATHELINE AKIMWAGIWA VINYWAJI KUONYESHA UPENDO KWANI ILIKUWA SIKU YAKE YA KUZALIWA ILIYOAMBATANA NA USHINDI WALIOUPATA BAADA YA KUIONGOZA TIMU YAKE VYEMA.
MICHEZO NI SEHEMU YA KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO.

1 comment:

  1. Mechi ilikuwa nzuri sana, siku ilikuwa ya furaha ubarikiwe sana ndugu Hassan Kuku kwa kuwahabarisha watu kuhusu mchezo wa mpira wa wavu (volleyball) lakini pia kwa kututunzia kumbukumbu nzuri kama hizi... Mungu akubariki Sana

    ReplyDelete