Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati)
akisaini mkataba wa hali bora za wafanyaka wa benki hiyo na Katibu Mkuu
Msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda,
Biashara, Huduma na Ushauri (TUICO), Shikunzi John.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini
mkataba wa hali bora za wafanyaka na Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha
Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Biashara, Huduma na Ushauri
(TUICO), Shikunzi John (wa pili kulia).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kulia) na Katibu
Mkuu Msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda,
Biashara, Huduma na Ushauri (TUICO), Shikunzi John, wakibadilishana hati
ya Mkataba wa Hali Bora za Wafanyakazi wa benki hiyo na TUICO jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) na Katibu Mkuu
Msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda,
Biashara, Huduma na Ushauri (TUICO), Shikunzi John, wakibadilishana hati
ya Mkataba wa Hali Bora za Wafanyakazi kati ya Chama hicho na Benki ya
CRDB jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment