 |
Katibu Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban
Mwinjaka,
(Kushoto), akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani
Kisamfu, wakati akiwasikli bandarini jijini Dar es Salaam, leo Jumatano
Nov 19, 2014, kupokea mabehewa 50 ya kubeba makontena. | | | | |
|
|
 |
Moja
kati ya mabehewa 50 ya kubebe makasha, likishushwa kutoka kwenye meli,
bandarini jijini Dar es Salaam leo Jumatano Nov 19, 2014. Mabehewa hayo yataongeza utoaji huduma wa
Kampuni ya reli Tanzania, (TRL), kutoka kutoa huduma za usafirishaji mizigo
chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), alisema katibu mkuu wizara ya
usafirishaji Shaaban Mwinjaka, wakati akipokea mabehewa hayo kutoka India |
 |
Katibu
Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kulia), akikagua behewa moja
kati ya 50 ya kampuni ya reli Tanzania, (TRL), yalipowasili jana. . Mabehewa
hayo yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania, (TRL), kutoka kutoa
huduma za usafirishaji mizigo chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN),
alisema katibu mkuu wizara ya usafirishaji Shaaban Mwinjaka, wakati akipokea
mabehewa hayo kutoka India. |
Mkuruhenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, akitoa hotuba fupi
 |
Katibu Mkuu, wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, akitoa hotuba yake. |
 |
Alama zinazoonyesha tarehe mabehewa hayo yalipakiwa kutoka India kuja Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment