
.
Mkali Hip Hop kutokea 88.1 (Mwanza) Young Killer baada ya kuachia
single yake mpya aliyoipa jina ’13’ katika vituo mbalimbali vya radio
aliowashirikisha Fareed Kubanda a.k.a Fid Q na Belle 9.Leo anakupa
sekunde 15 za kutazama kionjo cha video yake mpya iliyoongozwa na
director Nisher .
Video hiyo inatarajiwa kuachia mwezi Novemba tarehe 13
No comments:
Post a Comment