CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI CHA PATA WANACHAMA WAPYA.

WATU WAWILI MMOJA NI ALIEKUWA MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA IGOGO (A) KATA YA NYAMPULUKANO, WILAYA SENGEREMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI NA KUAMUA KUJIUNGA NA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI HAPA SENGEREMA.
   MH.PAULINA KANUTI AMEAMUA KUJIUNGA NA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KWA HIYALI YAKE MWENYEWE BILA KULAZIMISHWA NA MTU YEYOTE LAKINI PIA NIKUTOKANA NA KUCHOSHWA NA MAMBO NDANI YA CHAMA CHA MAPINUZI.
   PAULINA KANUTI KAKABIDHIWA KADI N0. AD 060582.NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI (W) Mh. FRANCES MTOKAMBALI PAMOJA NA MWENYEKITI WA WANAWAKE NCCR-MAGEUZI (W) Mh.ESTHER ABEL.
    LAKINI PIA Mh. PAULINA KANUTI AMEWEZA KUKABIDHIWA FOMU YA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KWAJILI YA KUGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA MTAA WA IGOGO
     LAKINI PIA MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI Mh.FRANCES MTOKA AMEWEZA KUMKABIDHI KADI YA UANACHAMA BWANA SIJAONA BENJAMIN ALIETOKA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA KUAMUA KUJIUNGA NA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI NA KUKABIDHIWA KADI N0.AD .060581. TUKIO HILI LIMEFANYIKA LEO TAREHE 06/11/2014 MIDA YA SAA10:20 ZA JIONI KATIKA OFISI ZA NCCR-MAGEUZI WILAYA YA SENGEREMA.

    Mh MWENYEKITI WA (w) FRANCES MTOKA MBALI  KUSHOTO NA NA MWENYEKITI WA WANAWAKE (w) Mh, ESTHER ABEL KULIA .

    Mh, PAULINA KANUTI AKIKABIDHIWA KADI NA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI Mh, FRANCES MTOKA MBALI NA ESTHER ABEL.
     Mh, PAULINA KANUTI AKIKABIDHIWA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI WA MTAA WA IGOGO.
     Mh.FRANCES MTOKA MBALI AKIMKABIDHI KADI YA UANACHAMA WA NCCR-MAGEUZI BWANA SIJAONA BENJAMIN.

No comments:

Post a Comment