Rais aliyejiuzuru Blaise Compaore
amesema amechukua maamuzi hayo ili kuiruhusu hali ya amani iweze kurejea
baada ya kuzuka machafuko mitaani watu wakipinga kitendo cha bunge
kutaka kufanya mabadiliko ya katiba ili imruhusu Compaore aendelee kukaa
madarakani.
Compaore amekaa madarakani kwa miaka 27.
Machafuko yalipelekea uharibifu mkubwa
ikiwemo jengo la Bunge kuchomwa moto, na safari za ndege kusitishwa
katika uwanja wa ndege wa Ouagadougou.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia
No comments:
Post a Comment