Mganga
Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo
(kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa
wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua
kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa
mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwenyekiti
wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), akifungua
koki ya maji baada ya kukata utepe kuzindua kisima cha maji
kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam. Kulia ni Afisa Uhusiano wa TBL, Bi. Doris Malulu, Mganga Mkuu wa
Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo, Meneja
Mauzo wa TBL Kinondoni, Bw. Joseph Nicholaus (wa tatu kulia) na
watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwenyekiti
wa Mtaa wa Mwongozo, Bw. James Ngoitanile, akimtwisha ndoo ya maji
Mjumbe wa Shina, Bi. Zubeda Samata, baada ya kuzindua bomba la maji safi
lilijengwa kwa Hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika Zahanati
ya Makuburi, Dar es Saaam.
No comments:
Post a Comment