Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua
bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha
ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na
tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere alipofariki
Dunia Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa
kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika
kuchangia maendeleo ya Taifa letu na Kukuza uchumi.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo (kushoto) akiwa na Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati
akimkaribisha kusaini katika ubao wa saini
Thadeo (kushoto) akiwa na Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati
akimkaribisha kusaini katika ubao wa saini
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo akisai ubao kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika
upingaji wa watu kuto kulipa kodi
Thadeo akisai ubao kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika
upingaji wa watu kuto kulipa kodi
Mkurugenzi
wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika
bonanza akitia Saini yake katika ubao wa saini katika uwanja wa ustawi
wa jamii siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu
hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia
Jijini Dar es Salaam
Picha za pamoja waalimu wafanyakazi wa mashirika wanafunzi pamoja na Mgeni Rasmi
Baadhi ya wanafunzi walio weza kuhudhuria bonanza hilo
kikundi cha burudani kikiwa kipo jukwaani kwaajiri ya kusherehesha katika bonanza lililo andaliwa na Action Aid Tanzania
No comments:
Post a Comment