Mbunge wa Jimbo la TemekeMh.Abbas Mtemvu alipowasili katika Viwanja vya TCC Club, Dar es Salaam, (kushoto ni) Naibu meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga, na kulia ni Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi ya wanachama wa Vilab kumi vya Jogging Jimbo la Temeke wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu wakati alipofanya kazi ya kuzindua Vikoba katika viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam na kuchangisha zaidi ya shilingi milioni 1.8.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akizindua vikoba na kupitisha Harambee ambapo zaidi ya Sh. milioni 1.8 zilipatikana katika harambe hiyo
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, kulia na Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya , wakati mbunge huyo alipokuwa akizindua vikundi zaidi ya kumi vya Vicoba.
Pendo Masigati , alipofunguwa kinywaji cha Shampeni katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Vikoba hivyo katika Viwanja vya TCC Clob ,Dar es Salaam
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi Sh. Laki moja , Mwenyekiti wa Jogging Sports Club ya Mikocheni Dar es Salaam, Muhamed Husseni kwa ushiriki wao baada ya kukubali mwaliko bila kujali umbali, wanao shuhudia katikati kushoto ni Diwani Hamisi Mzuzuri na anayefuatia ni Naibu meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akiongea na wana Habari baada ya uzinduzi wa Vicoba .
No comments:
Post a Comment