Meneja wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma Wateja. Kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Pamela.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Babati, Ronald Paul (kushoto) akibadilishana mawazo na wateja.
Meneja wa tawi la Usa iver Jeneffer Tondi kigonga cheers na wateja katika maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.
No comments:
Post a Comment