DORIN ROBERT AMBAE ALIKUWA MSHINDI WA REDDS MISS SENGEREMA MWAKA 2014 ILIYOFANYIKIA KATIKA VIWANJA VYA ST.CALORY, AMEFANIKIWA KUCHUKUA TAJI LA MISS MWANZA.
MASHINDANO HAYO YAMEFANYIKA TAREHE 8/8/2014 NDANI YA JB BELMONT NA KUFANIKIWA KUIBUKA MSHINDI.
DORIN ALIE NA TAJI KATIKATI AKIWA NA WASHIRIKI WENZIE .
No comments:
Post a Comment