Pages - Menu
The Magazine
BWAWA LA MAJI MARUFU (RAMBO LA MZUNGU) HAPA SENGEREMA LASABABISHA KIFO CHA MTOTO MMOJA.
RAMBO LA MZUNGU KWA JINA MARUFU SANA HAPA SENGEREMA LASABABISHA KIFO CHA MTOTO MMOJA ALIEFAHAMIKA KWA JINA LA VEDASTUS RAPHAEL MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI IBISABAGENI ( PAMBALU,B).
MAUTI HAYO YAMEMFIKA JANA TAREHE 10/08/2014, ALIPOKWENDA KUFUA NA WENZAKE KATIKA RAMBO HILO, BAADA YA KUFUA ALIANZA KUOGELEA NDIPO ALIPOWEZA KUNASA KATIKA MATOPE YALIYOMO KATIKA RAMBO HILO
JITIHADA ZA KUMTOA KWA JANA ZILISHINDIKANA MPAKA LEO HII TAREHE 11/08/2014, BAADA YA WATU MBALIMBALI KUJARIBU KUOGELEA KUMTAFUTA IKASHINDIKANA KWANI ALIKUWA KANASA MBALI HIVYO IKALAZIMU MTENDAJI WA KATA YA IBISABAGENI KUMUITA MTU MMOJA ALIMARUFU KWA JINA LA MWALIMU MALILA ANAEFUNDISHA MPIRA WA MIGUU KWANI AMEKUWA AKIOKOA WATU MBALIMBALI KATIKA BWAWA HILO KWA YEYE HUWA AKIFANYA SHUGHULI ZAKE ZA KILIMO CHA BUSTANI MAENEO HAYO,
NDIPO ALIPOFIKA WAKASHAULIANA NA WATU WALIOKUWA WAKIHANGAIKA KUMTAFUTA AWALI MMOJA ANATAMBULIKA KWA JINA LA GOD MAMBA NDIPO MUAFAKA UKAPATIKANA LITAFUTWE KOKOLO NDIPO LAKATAFUTWA NA KUPATIKANA IKAANZA KAZI YA KULITANDAZA KATIKA RAMBO NA BAADA KUMALIZA LIKAANZA KUVUTWA NDIPO ALIPOPATIKANA MTOTO HUYO NA SHUGHULI ZINGINE ZIKAFUATA AMBAPO ALIBIDI WAITWE ASKALI POLIS WALIOKUWEPO MWANZO WAKAONDOKA WAKIACHA SHUGHULI YA UTAFUTAJI IKIENDELEA WAKIDAI KAZI IKIKAMILIKA WAPEWE TARIFA NDIPO WALIPOPEWA TARIFA NA KUFIKA NA DAKTARI KWALI YA VIPO NA KURUHUSU TARATIBU ZINGINE ZIFUATWE IKIWEPO YA KWENDA KUMZIKA KWANI ANGELALA TENA ANGEHARIBIKA.
WATU WALIOFIKA KATIKA TUKIO LA UOKOAJI WA.
WAKIMTAFUTA MTOTO VEDASTUS.
WAKITANDAZA NYAVU KATIKA MAJI.
GODMAMBA.
NGUO ZA MAREHEMU VEDASTUS
MWALIMU MALILA AKIWA NA WAPIGAMBIZI WAKE WAKIPEANA MAELEKEZO KABLA YA KUINGIA MAJINI KUANZA KUTAFUTA MAITI.
MAITI IKIWA INATOLEWA MAJI KATIKATI YENYE KIPENSI CHEUSI IKIWA IMESHIKIRIWA.
BAADA YA KUTOLEWA MAJINI NA KULAZWA PEMBENI MWA MAJI.
MAITI IKIWA IMEFUNUKWA.
ASKALI POLISI AKICHUKUA MAELEZO.
MAITI IKIWA INAPAKIZWA KATIKA GARI YA WAGONJWA.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOFIKWA NA MSIBA HUU, PIA TUNATOA SHUKRANI KWA WANANCHI WOTE WALIONYESHA USHIRIKIANO WAO PAMOJA NA WAOKOAJI WOTE.
TUNAPENDA KUTOA RAI YETU KWA WAZAZI NA WALEZI KUTOKUWARUHUSU WATOTO KWENDA KATIKA RAMBO HILO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UHABA WA MAJI KATIKA MJI WETU WA SENGEREMA KWANI MAENEO MENGI KATIKA ENEO HILI NI MATOPE NA YANATITIA KWANI KWA JUU UNAWEZA KUFIKIRI PAKAVU LAKINI KWA NDANI PABICHI SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment