TUMAINI MUNALE- MKUFUNZI KATIKA CHUO CHA UALIMU BUNDA NA MTIA NIA WA NAFASI YA UBUNGE KATIKA JIMBO LA SENGEREMA MJINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI 2015.

TUMAINI MUNALE MBALI NA KUWA MKUFUNZI WA CHUO CHA UALIMU BUNDA NA MTIA NIA KATIKA NAFASI YA UBUNGE KATIKA JIMBO LA SENGEREMA MJINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI PIA NI MDAU WA MICHEZO.
         KUTHIBITISHA HILO WALIWEZA KUANDAA LIGI YA MPIRA WA MIGUU KATA YA NYAMPANDE NA KUZIKUTANISHA TIMU 19.
          KATA SILIZOSHINDANISHWA NI  KATA YA BUSISI, NYAMPANDE, BUYAGU,KISHINDA, NYAMATONGO, KASUNGAMILE, TABARUKA NA KATA TATU KUTOKA SENGEREMA MJINI AMBAZO NI IGOGO, NYATUKALA NA IBISABAGENI.
          MSHINDI WA KWANZA ALIPATA KIASI CHA PESA TASLIMU TSH.1,000,000/=
          MSHINDI WA PILI TSH.5000,00/=
          MSHINDI WA TATU TSH.2000,00/=
 TARIFA KAMILI NI KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA GAZETI LA MZAWA.


HUYU NDIE TUMAINI MUNALE MKUFUNZI WA CHUO CHA UALIMU BUNDA LAKINI PIA KATIA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA SENGEREMA MJINI 2015.

2 comments:

  1. Safi sana Mnale komaaa mwanangu ili utusaidie kupambana na hawa mafisadi wa CCM

    ReplyDelete
  2. Huyu Tumaini ndo mtoto wa marehemu Mnale aliyekuwa anafanya kazi bomani hapo Sengerema?

    ReplyDelete