NA HAPA WAKIENDELEZA KUTOA ELIMU KWA VIJANA WA JINSIA ZOTE KWA MWAKA HUU WA 2014.
HAPA WAKIWA KATIKA MAFUNZO YALIYOANZA TAREHE 22/07/2014 NA KUISHA TAREHE 23/07/2014.
MWALIMU AKIWAFUNDISHA MASOMO YA UJASILIAMALI VIJANA WALIYOPO KATIKA MAFUNZO HAYO LAKINI PIA NI AFISA BIASHARA WA WILAYA YA SENGEREMA, MZEE MAKANJI.
HAYA NDIO MASOMO AMBAYO WALIKUWA WAKIFUNDISHWA.
HUYU NI MMOJA KATI YA VIONGOZI WA SENGEREMA YONG ENTREPRENEURS. BWANA DAVID ZABRON.WANAFUNZI WAKIFATILIA MAFUNZO KUTOKA KWA MWALIMU WAO.
MWALIMU AKIJARIBU KUWAELEKIZA VITU KUPITIA HIYO CHUPA YA MAJI.
HAPA WALIKUWA WAKIITWA MMOJAMMOJA KUELEZEA UBAONI KUONA NI KIASI GANI WAMELEWA KILE WALICHO FUNDISHWA.
HAPA WAKIFANYA MITIHANI KWA KILE WALICHOFUNDISHWA.
HAPA MWALIMU AKIWAELEKEZA BAADHI YA VITU KWA UKARIBU KABISA.
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MDA WA MASOMO KUMALIZIKA.
WAKIPATA CHAKULA CHA PAMOJA BAADA YA MASOMO YAO KUMALIZIKA.
No comments:
Post a Comment