
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI.
GARI YA KAMPUNI YA LUSHANGA YAGONGA NA KUUA MTU MMOJA NA KUJERUHI WAWILI GARI HILO LENYE NAMBA ZA USAJIRI T312 ATA LENYESAFARI ZA KIGOMA LIMEPATA AJARI MAENEO YA HAPA SENGEREMA KATIKA MAKUTANO YA BARABARA YA KWENDA KAMANGA, BUSISI LILIKUWA LIKIONGOZANA LA BASI LA SUPER SAMMY BAADA YA KUFIKA KATIKA MTEREMUKO WA BOMANI BREKI ILILETA MATATIZO NA KUSABABISHA KUGONGA MTEMBEA KWA MIGUU AMBAE JINA LAKE HALIJAPATIKANA NA KUSABABISHA KIFO BAADA YA MTEMBEA KWA MIGUU KUPASUKA KICHWA LAKINI PIA LILIMJERUHI DEREVA BODABODA AKIWA NA ABIRIA WAKE NA KUFANIKIWA KUWAKIMBIZA KATIKA HOSPITAL YA WILWAYA.
MASHUHUDA WAKITAZAMA AJALI.
MWILI WA MAREHEMU UKIWA BARABARANI NA HAPO KICHWA KIMEPASUKA NA HICHO KITU CHEUPE MKONO WA KUSHOTO NI UBONGO.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU PIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.
Ahsante
ReplyDelete