BELLE 9 AFANYA KITUKO BAADA YA KUKATAA KUFANYA SHOW JANAIL KATIKA UKUMBIWA MAYENGELA ILIYOANDALIWA NA MS SYSTEM NA KUSABABISHA VURUGU KUWA KUTOKA KWA MASHSBIKI WALIOLIPA PESA ZAO




WAANDAJI WA SHOW YA BELLE 9 WANUSURIKA KUPIGWA NA MASHABIKI BAADA YA MSANII BELLE 9 KUKATAA KUIMBA KWA MADI KWAMBA ALIPWE KWANZA KIASI CHA TSH, 600000/= AMBACHO ALIDAI ANAWADAI WANDAAJI WA SHOW AMBAO NI MS SYSTEM. TUKIO HILO LILITOKEA MAJIRA YA SAA 7:49 USIKU BAADA YA WASANII WA HAPA KUMALIZA KUIMBA NA KUTAKIWA BELLE 9 KUPANDA JUKWAANI.BAADA YA DJ ROGGERS MASOSO KUMFATA BELLE 9 KATIKA HOTEL ALIYOFIKIA BELLE 9 ALIKATAA KUJA UKUMBINI MPAKA ALIPWE PESA YAKE NA ALIVYOFIKA MIDA YA SAA 8:37 ZA USIKU BILA MAAFIKIANO NDILO ILIPOWALAZIMU KUONA NI JINSI GANI WATAKAVYOWAELEZA MASHABIKI WAO KWANI TAYARI WALIKUWA WAMESHACHUKUA PESA ZAO TAYARI NA WAKISUBIRI SHOW KUTOKA KWA BELLE 9, BAADA YA KUSHAULIANA KWA KIPINDI KIREFU NA BAADHI YA WADAU WAKAKUBALIANA KWENDA KUWATANGAZIA MASHABIKI KILICHOTOKEA  BAADA YA KUTANGAZA  KUWA BELLE 9 HATAIMBA  HAPO NDIPO VURUGU ZILIPOTOKEA WAKATI H HUO MKATISHA TIKETI ALIKUWA TAYARI KAONDOLEWA UKUMBINI. BAADA YA KUWATAFUTA WANDAAJI KUJUA KWA UNDANI WA TATIZO BWANA ROGGERZ ALITUELEZA KUWA WAO NA BELLE 9 WALIKUBALIANA SHOW YA ASILIMIA KWAMBA WATAFANYA KWA PAMOJA KITAKACHOPATIKANA WATATOA GHALAMA ZAO KINACHOBAKI NDIO WANAGAWANA ALIKINI BELLE 9 ALITAKA ATUMIWE KWANZA PESA YA NDEGE NA AKATUMIWA LAKINI PIA AKADAI KUWA PESA ITAKAYOPATIKANA MLANGONI WAMPATIE KIASI CHA TSH.60000/= KWANZA KABLA HAJAIMBA LAKINI BAADA YA KULUMBANA SANA IKAWALAZIMU DJ ROGGERZ NA MUWAKILISHI WA BELLE 9 WAHESABU KWANZA KIASI KILICHOKUWA KIMEPATIKANA KWA KIPINDI HICHO BAADA YA KUHESABU KIASI KILICHOPATIKANA INAONEKANA ENDAPO BELLE 9 ATALIPWA HIYO LAKI SITA (600000/=) INAMAANA BWANA ROGGERZ ASINGEPATA KITU CHOCHOTE WAKATI KALIPIA UKUMBI, KALIPIA MZIKI NA KAFANYA MATANGAZO SASA ENDAPO BELLE AKITLIPWA MS HAWATAPATA KITU  HAPO NDIPO MATATIZO YALIPOANZIA KWANI BELLE  NAE AKAGOMA KUJA UKUMBINI  HALIILIYOLAZIMU BWANA ROGGERZ NA MKE WAKE AMBAE NDIE ALIYEKUWA AKIKUSANYA PESA  KUONDOKA UKUMBINI ILI BAADA YA KUWATANGAZIA MASHABIKI KUWA BELLE 9 HATAIMBA WASIWEZI KUFIKA LILIPO KAPU LA PESA. LAKINI MUNGU ALISAIDIA  BAADA YA WADAU WA EAGLE ENTERTAINMENT NA WADAU WENGINE KUINGILIA KATI KUTULIZA HALI ILE NA KUFANIKIWA KUWATULIZA MASHABIKI WALIOKUWA NA JAZBA KWANI KUNA WATU MPAKA WALICHOMANA VISU WENGINE WALIONDOKA NA VITI VYA UKUMBINI. 













 TUNAPENDA KUWAPA POLE SANA MS SYSTEM KWA YALIYOTOKEA KWANI NDIO CHANGAMOTO ZA KAZI ZILIVYO ILA RAI YETU KWAO NI VIZURI KUWA NA MAKUBALIANO YANAYOELEWEKA MAPEMA ILI ISIJETOKEA TENA HALI KAMA HIYO LAKINI PIA TUNAWAOMBA RADHI WAPENZI WA BURUDANI KWA YALIYOTOKEA.

No comments:

Post a Comment