WASANII CHIPUKIZI WAKIFUNGUA SHOW.
MC DJ SHIMMY D.
BABA LEVO AKIWABURUDISHA MASHABIKI.
DJ MACK NA DJ EDDY WAKIWA KATIKA MASHINE.
WAREMBO WAKIFATILIA SHOW KWA MAKINI SANA.
BABA LEVO AKIMTAMBULISHA MKE WAKE GUNULA ALIEMPATIA SENGEREMA NA WAMEFANIKIWA KUPATA MTOTO MMOJA WA KIKE.
BABA LEVO AKIWA NA MADENSA KUTOKA WASAFI WA HAPA SENGEREMA.
No comments:
Post a Comment