HAYA NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI KATIKA JIMBO LA KALENGA.
WANACHAMA WA CCM WAKIWA WAMEMBEBA MGOMBEA WA ALIESHINDA MH: GODFREY WILLIAM MGIMWA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI NA TUME YA UCHAGUZI.
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MJINI IRIGA YAMTANGAZA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MH: GODFREY WILLIAM MGIMWA KUWA MSHINDI KWA KUPATA KURA, 22962 - SAWA NA 79.32% AKIFUATIWA NA MGOMBEA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MH: GRACE MVANDA TENDEGA KWA KUPATA KURA 5853- SAWA NA 20. 22%. NA NAFASI YA TATU IMECHUKULIWA NA MGOMBEA WA CHAMA CHA CHAUSTA MH: ALOIS RICHARD MINJA KWA KUPATA KURA 150- SAWA NA 0.52%.
No comments:
Post a Comment