Uzinduzi wa kundi la Remote kontrol uliofanyika 30/11/2013. Katika ukumbi wa Mayengela.

       Msanii mgunda lusato akiwasha moto akiwa na idd mbishi

        Kundi la makomandoo wa sengerema  akilishambulia jukwaa

      Kundi la watanashati nao walikuwa katika uzinduzi wa remote kontrol

        Kundi la SSD wakifanya yao.

     Waratino wakionyesha uwezo wao wa kucheza style mbalimbali


     Kundi la wasafi ambalo ndilo lilikuwa mabingwa wa kucheza hapa sengerema wakionyesha hawakubahatisha kuwa mabingwa.


      Hapa kundi la remote kontrol wakizindua kundi lao walikuwa washindi wa pili katika mashindano ya kucheza yaliyokwishafanyika hapa sengerema.

      Remote kontrol wakionyesha ubunifu wao wa kucheza aina mbalimbali  za kucheza.

     Dj john kutoka Ms SYSTEM akionyesha jinsi ya kucheza na Numark.
    Ms system walifunga mashine mbili tofauti katika show moja hapa ni Dj wa pili akiwarusha mashabiki.


     Mashabiki wakifatilia show ya uzinduzi wa Remote kontrol kwa karibu.
    Hapa madada wawili waliofahamika kwa majina yao, huyo mkono wa kushoto alievalia kipensi cheupe amefahamika kwa jina la Naima na alievaa suruali mkono wa kulia amefahamika kwa jina la Mariam wakipigana kisa kikifahamika kuwa ni ugomvi wa kugombania bwana ilikua burudani sana.

No comments:

Post a Comment