| Dj O akiwa na saynag |
| D to the C akiwasha moto |
Dj mack akiwa na oscar toka Star tv .
Dj shimmy D akiendesha show.
Madencer wa say nag wakifanya kweli.
Shabiki aliepatikana kwa jina la Haji akifatilia kile ambacho Dj akifanya.
Tambiko wakifanya show na saynag katika wimbo waliomshirikisha.
Tambiko.
| Huyu sister du akifatilia show. |
Denis (aka) agaya akiwasha moto.
Casslim akiwa na bon wakijadili kuhusu show ilivyokuwa bomba.
No comments:
Post a Comment