Watu wenye silaha washambuli na kuua watu 39 na kujeruhi wengine 150 Wesgate mall shopping center westland jijini Nairobi Kenya.

    Rais wa Kenya Uhuru kenyatta akirihutubia taifa
    Inspector general  David kimaiyo akiwa eneo la tukio
    Bomu likionekana eneo la tukio
    Askari polisi akiwa kabeba mtoto mdogo akijaribu kumuokoa
   Watu wa msalaba mwekundu wakiendelea kuchukua maiti pamoja na majeruhi wa tukio
  Raia aliejiokoa akitafuta msaada
Askari akiendelea kupambana na magaidi katika westgate mall shopping center. Katika tukio hili pia yumo dada yake na  Rais wa kenya Mh. Uhuru kenyatta.

No comments:

Post a Comment