IRENE UWOYA NA DIAMOND WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA

Hii ni skendo inayoweza kuweka rekodi ya kukaa kwenye vichwa vya watu kwa muda mrefu ujao, kwani Uwoya siyo tu kwamba ni mke wa mtu, bali pia ni juzijuzi tu alijidai amesahihisha makosa yake kisha akathibitisha kurudiana na mume wake, Hamad Ndikumana ‘Kataut’, baada ya kutengana kwa kitambo kirefu kidogo
LAANA YA "KANGA MOJA" ILIYOFANYIKA KATIKA SHOW YA DIAMOND HUKO BUKOBA
Mwanamke akimwagiwa maji makalioni mbele ya watoto waliohudhuriaWEMA NA KAJALA NI KIKAZI ZAIDI....
“Filamu ya Princess Sasha ndiyo tunaanza nayo, tutashutia maeneo ya nje ya Dar. Tunahitaji mandhari ya kijijini ili kuukamilisha mzigo huo,” alisema Wema.SIKU chache baada ya kumsainisha Kajala Masanja katika kampuni yake, Wema Sepetu ameweka bayana kuwa muunganiko wao utakuwa ni wa kikazi zaidi.

No comments:
Post a Comment