NYOTA YA MUZIKI WA KENYA ILIYOZIMIKA SIKU KAMA YA LEO MIAKA 10 ILIYOPITA
Kutoka label ya Ogopa, Huyu ni E-Sir, msanii
ambaye anaweza kutajwa kama Kenya One kwa uwezo aliokuwa nao katika
muziki na Harakati zake ambazo pia zina mchango mkubwa sana katika
kuutoa muziki huo katika ngazi za chini kabisa.
Jina lake haliwezi kusahaulika kabisa hasa kwa wanamuziki wa Kenya
na kwa kipekee kabisa Nameless ambaye alikuwa naye hadi dakika ya
mwisho wakati alipopata ajali ya gari na kufariki tarehe 16 March 2003, wakati akitokea huko Nakuru kutangaza albam yake ya kwanza kabisa 'Nimefika' ambayo ilikuwa na Bonge la hits
No comments:
Post a Comment