LULU ALIKUMBUKA PENZI LA STEVEN KANUMBA.....
Wakati
zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba kitimize
mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu kwa mara
ya kwanza leo ameandika ujumbe kuhusiana na jinsi anavyomkumbuka.
No comments:
Post a Comment