Baada ya kuwepo kwa maswali mengi kuhusu tabia ya mwanamziki na
muigizaji Hemedi Suleiman a.k.a PHD, kuwa anaringa sana, na ni mtu ambae
anapenda sana kuwa na watoto wa k***.
hiki ndicho alichokizungumza Hemedi leo hii kupitia xxl ya Clouds fm
"naomba
jamani watu wajue kuwa mi siringi, ila watofautishe kati ya swag na
kuringa, unajua Hemedi Suleiman na PHD ni watu wawili tofauti, nikiwa
Hemedi sina mambo hayo kabisa, na nikiwa kama PHD hiyo is not me ni
kuigiza tu..ila the only reason guys wana hate ni kwasababu wana deploma
na nina PHD" amesema PHD.
Baada ya
kumuuliza alipofikia kuhusu show yake aliyoiita "wife star search"
maalumu kwa ajili ya kufanya shows sehem mbali mbali kutafuta mke hemedi
alisema

No comments:
Post a Comment