Pages - Menu
The Magazine
MATUKIO PICHA HAFLA YA WANAHABARI NA KAMPUNI YA AFRIKA INTERNET HOLDING
Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa
akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni
hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet
Holding
Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto)
akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na
kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika
Internet Holding.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam
Mosgani (kushoto), Meneja Mwendeshaji wa Mo Blog, Mr. Zainul M. na Mkuu
wa Kitengo cha Biashara na Mahusiano Kaymu.com, Angaza Nkurlu
wakibadilishana uzoefu katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na
kampuni ya Afrika Internet Holding Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment